Baada ya short pant tunakuja kwenye swala la umini shirt hapa kidogo naona mie naweza kupakimbilia bila kujistukia kuzidi short pant kuivaa tupu sina ujanja huo nahisi manyenje yatakuwa wazi kimbilio lake ni kuvaa leggings ndio short pant kwa juu.wale wa vimini wanavivalia hivi summer time bibie kama mpenzi wa vitu hivi anza shopping.
Apr 19, 2011
TIPS FOR SUMMER TIME WEAR
Summer time hatimae imenza,baada ya mateso makali ya snow.ni mda muafaka kwa warembo kurembeka na kushow off what they got,jua lina mavazi mengi mno ila leo naanza na hili, warembo wengi wanapenda kuvaa short pant(usinimind)kwa jina jingine ni vazi linalo itaji ujasiri nasio kujishtukia je utaliweza?tuone badhi yao wanalivaa vp!wadada wa bongo na wa nchi nyingine.kavazi haka kanaitwa usinimind!so haina haja ya comment ukimwona bidada kalivaa, jina la vazi ni tosha lishakupa jibu.
Baada ya short pant tunakuja kwenye swala la umini shirt hapa kidogo naona mie naweza kupakimbilia bila kujistukia kuzidi short pant kuivaa tupu sina ujanja huo nahisi manyenje yatakuwa wazi kimbilio lake ni kuvaa leggings ndio short pant kwa juu.wale wa vimini wanavivalia hivi summer time bibie kama mpenzi wa vitu hivi anza shopping.
Baada ya short pant tunakuja kwenye swala la umini shirt hapa kidogo naona mie naweza kupakimbilia bila kujistukia kuzidi short pant kuivaa tupu sina ujanja huo nahisi manyenje yatakuwa wazi kimbilio lake ni kuvaa leggings ndio short pant kwa juu.wale wa vimini wanavivalia hivi summer time bibie kama mpenzi wa vitu hivi anza shopping.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
am supporting u 100% swala la jeans shorts linaitaji kujiamini sio unavaa unajivutavuta kana kwamba itarefuka tena.
bibie sio kujiamini tu hapa kamguu nao uwepo sio ndio kama muwa ukavaa hivyo utatisha kiukweli
that fierce wear am in luv with it,speacial for summer time
Post a Comment