MAOMBI YA VYUO VIKUU YA INTERNATIONAL COURSES NA PROGRAMMES AUTUMN 2O11 YAMEANZA LEO 1DEC KWA WALE AMBAO WATAKUWA TAYARI KUTUMA MAOMBI
YAO WANATAKIWA WAINGIE STUDERA.NU NA HUMO UTAPATA MAELEZO YOTE NA
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 17 JAN 2O11,MSISITE WATAARIFU NDUGU JAMAA
NA MARAFIKI KWA WALE WENYENIA ELIMU HAINYIMWI MTAARIFU MWENZAKO.
No comments:
Post a Comment