Fashion bomb shell of the day is Alela from netherland fashion yake ipo so simple na smart kwa mwanamke yoyote anaweza ivaa na mwenyewe anapendelea magauni anaamini ndio yanayo mfit poa kutokana na body size yake ,i luv it mtu kujijulia mwiliwako!
anaamini gauni ndio best choice yake.
2 comments:
i like her fashion sense,luks quite matured
hahahhaha ujue inategemea mtu akikubali umbo lake na ajue kuvaa kutokana na umbo lake lakini mmmm kunawatu hawawezi kuiga basi ndo tunapopata kucheka mana mabo ya dunia dada kapendeza sana yupo juuuu
Post a Comment