mie naupenda mwili wake, kuna vimino vingine kiukweli akivaa anatoka fab,tofauti na wasanii wengine wanavaa nguo za uchi na miili yao mikubwa mno na no mvuto.
hapa nguo zake fupi ila zimemtoa sexy balaa
haya ndio ninayo maanisha kama we mpenda nzuo za uchi basi kuwa na mvuto kama hivi sio unavaaa kimini kujidhalilisha na minyama uzembe mpaka unatisha watu.
hapo swagg zake amevaa kiadabu kidogo
anadamu yanguo kila swagg zinampendeza
Lulu kwenye kili Music award alitokea kitofauti mwaka huu alivaa gauni nadhifu na lilimpendeza .
2 comments:
jamani haka katoto tatizo kameanza mapema nna wasiwasi atakachaa ndo roho inaponiuma mana ni kazuri jamani lol sio sura hata umbo km ki2 cha kuweka mdomoni.
Halafu kanajijulia nywele na mavazi cjui ndo tuseme kweli ana damu ya nguo au kila ki2 hata sielewi yani kanavutia kila wakati
ndio hivyo anony hapo juu kizuri hakikosi kasoro kangejitulia zake angekuwa kazuri mno sema ameanza kuaribu CV yake akiwa mdogo
Post a Comment