Mar 30, 2011

SWAGG ZA LEO -AFANDE SELE

                         

AFANDE SELE HII STYLE YAKE YA VIATU NI NOUMA, RANGI 2TOFAUTI LOL

2 comments:

Anonymous said...

jamani wanaume ni wachafu hawa usipime mi sikutaka kuamini kbs km wameoa na sijui hao wake wanauvumilivu gani mana wao ni wasafi shuti akikwambia afande au 20% ndo mumewe utakataa.
Full bangi kila uwanapo hata km ndo usela jamani sio ivo lol huo utakuwa usela mavi mbn migang ya us ni misafi jamani?????????????

Anonymous said...

niaibu sema hawa ni macelebrity wa tanzania yani kama wapiga debe wavituo vya mabasi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...