Mathew knowles ambae ni baba yake beyonce ameachishwa kazi na mwanae.Mathew alikuwa manager wa beyonce tangu alipoanza uanamziki,ametangaza leo lady b kwamba ametengana na baba yake kwenye swala zima la mziki,sababu hakusema ,kunarumours zilitoka kwamba baba yake alikuwa anamcheats mkewe na mwishowe wazazi wake wali dervorce na hili swala lilimgusa mno mana beyonce yupo karibu sana na mama yake.baba yake anasema anaheshimu mawazo ya mwanae na anamtakia kila lakheri.
BEYONCE NA BABA YAKE
BEYONCE NA WAZAZI WAKE
1 comment:
kazi kweli kweli
Post a Comment