Feb 27, 2012

HEKA HEKA NI MOJA YA VIPINDI BORA CLOUDS FM

Katika watu wanaoweza changamsha vipindi Clouds Fm ,ni hawa wanaofanya kipindi cha heka heka na Leo tena jamani huwa nacheka sana ingawa vingi vinanipita.wanavyochambua kipindi mpaka unaweza unguza mboga kwa kusikiza vibweka vyao.
Dina Marios sura yake ipo very innocent ila anamaneno huyo

 nilikuwa na hamu sana kumjua husna a.k.a da huu pita pita zangu nimebahatika kupata picha yake.


 huyu wa kidole juu ndio Gea Habibu mama wa inahuuu anakwambia ndege haina kondaka hahhah so fun wasikie kesho saa 7.00 asubuhi ya sweden hapo ingia hapo http://www.ustream.tv/channel/clouds-fm  .saa 9.00  asubuhi ya Tanzania kupitia 88.4fm.
                                       
                                                                                  

2 comments:

Anonymous said...

mmpeleke heha heka akachabwe huyo miamor

Anonymous said...

tetete watu mnavituko achanneni nae keshajiona mjinga

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...