Golden globe awards 2011 ,celebrities wengi wamependeza na magauni yana design nzuri.
red carpet goes green walipendeza
xtina gauni lake ni full lace nguva nzuri.
Amber glee
halle
jlo
Gabrielle anakwammbia haijalishi body size kinachotakiwa ni kujiamini na pozi ndio izi za red carpet.
1 comment:
kwani designer wa gaby ni nanimana anamnanga mwenzake anaonekana kituko jamani
Post a Comment