gauni matata nashindwa atanilipe jina gani,jana tena kwenye brit
awards alikuja na mpya zaidi ni hizi
Rihanna graced the red carpet at the Brit Awards in colour -bright dress akamatch na blue high heels.
Alipopanda stage kuimba S&M alivaa sweeping dress kwa nyuma na mbele kimini i luv this dress
Rihanna won Best international Female artist wore white flowery dress , kavaa kieshima alipoenda pokea tunzo yake.
2 comments:
riri anakimbiza hollywood
the blue dress inspire me.
Post a Comment