Kelly Rowland alifanya show ya nyimbo yake mpya inayoitwa ``Motivation``alipanda kwenye stage akiwa amevaa suit nyeupe ,mim binafsi nilidhani vazi hili ni la kiofisi zaidi kumbe hata kwenye stage linaenda inategemea limebuni vipi,yeye kavalia bra tu kwa ndani ,tofauti na wengi wetu tunavyojua huvaliwa na vest at top kwa ndani je wewe hili unalionaje!la suit kwenye stage.
anabody size nzuri ,sexylicious
3 comments:
Kapendeza style ya suit yake inaendana na hayo mazingira
She got a lovely shape
Mdau malmo
kapendeza sana inavalika popote bwana jinsi utakavyoivaa 2,inaleta maana.
Post a Comment