Riri kavaa sandals za Miu Miu na t-shirt dress
Miu Miu katoa rangi tofauti tofauti leather flat sandal .
lol pesa huzua mengi rihanna kushuka kwenye gari sharti afunguliwe mlango na kubebewa pochi,na kazi inafanywa na walinzi wawili hapo bado dereva pesa kweli hubadili mengi hapo ni Madama riri huyo.
1 comment:
Hhah pesa huamisha milima sembuse kubebewa handbag
Post a Comment