Jul 31, 2011

RIHANNA'S MIU MIU CUTOUT LEATHER FLAT SANDALS

                         
                             
 Riri kavaa sandals za Miu Miu na t-shirt dress


                                   

Miu Miu katoa rangi tofauti tofauti  leather flat sandal .

                                           
lol pesa huzua mengi rihanna kushuka kwenye gari sharti afunguliwe mlango na kubebewa pochi,na kazi inafanywa na walinzi wawili hapo bado dereva pesa kweli hubadili mengi hapo ni Madama riri huyo.

1 comment:

Anonymous said...

Hhah pesa huamisha milima sembuse kubebewa handbag

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...