Aug 1, 2011

WEEK END FASHION DISASTER

JUMAMOSI ILIYOPITA CLOUD'S FM WALIKUWA WAKISHEREKEA MIAKA 1O TANGU KUANZIASHA MSIMU WA DHAHABU ,AMBAYO HUWA WANAFANYA SHOW MIKOANI NA WANAMZIKI KUPERFOM KILA MWAKA.SWAGGA ZILIZO VALIWA KWENYE KUADHIMISHA HIYO MIAKA KUMI JIONEE MWENYEWE MANA NIFASHONISTA'S WA UKWELI LOL WALIJIANGALIA KABLA HAWAJATOKA HOME AU ILIKUWAJE! 



3 comments:

Kare said...

Jamani huyu Linah kapatwa na nini??? Mbona zamani alikuwa navaa nguo za heshima? Au kwa kuwa kaachana na Amni ndio maana, labda jamaa alikuwa anamchimba biti kuvaa nguo za kichangudoa. LOL

Anonymous said...

mana atakama ndio uchangudoa ila vazi halina style mana nikama anaonekana rough sasa

Anonymous said...

no huyu hapo ni kwenye fiesta lazima avae kisanii zaidi binafsi nampenda.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...