VITU UNAVYOTAKIWA UWENAVYO
1:FACIAL CLEANSER.
MAKE UPS REMOVER.
FACIAL WIPE |
COTTON PAD.(PAMBA)
FACIAL MOISTURIZER.
EYE CREAM.
INSTRUCTIONS.
I.chagua make ups remover ambayo inaendana na ngozi yako,na kwa wale wenye ngozi kavu ni vizuri watumie cream au gel ya facial cleanser nimeonyesha mfano wa picha hapo juu.kwa wale wenye ngozi
ya kawaida wanatumia creamy cleanser , liquid au gel.
2: Paka cleanser yako kutumia kidole ,paka mashavuni ,paji la uso,kidevuni uku unaisambaza uso mzima,iache iache kama dakika 2.ili inyonye make up vizuri.
3.Chukua face towel(kijitaulo) au pamba yako ila kitaulo naona ni nzuri zaidi sababu kitakuwa si gharama kwako,kuliko pamba ,jifute uso mzima mpaka uhisi huna make ups usoni.
4:Osha uso wako kwa maji ,baada ya hapo jipanguse na taulo ila hilo liwe kwa ajili ya uso tu,sio mwili mzima
na unahkikisha lipo safi kila utakapo taka litumia.
5:Baada ya uso kukauka paka moistuirizer usoni ila usipitishe machoni mana huko unapaka eye cream,na hapo utakuwa ushamaliza toa foundation usoni,hiyo moisturizer inasaidia kuifanya uso usikakamae baada ya kuuosha.
KWA MAELEZO YA VIDEO
NB
USILALE NA MAKE UPS USIKU UNAHARIBU NGOZI YAKO ,KWA KUIZEESHA MAPEMA NA UKAONA UVIVU KUTUMIA VITU VYOTE BASI NUNUA FACIAL WIPES INASAIDIA KULIKO KUTO TOA MAKE UPS KABISA, ILA SIO KWA SIKU ZOTE UTUMIE.
1 comment:
ASNTE MAMAJALUX MANA NILIKUWA SIJUI LOLOTE ASNTE
Post a Comment