Feb 26, 2011

VENESSA MWANAUME ALIJIBADILI KUWA MWANAKE

Dunia inamambo,Venessa Lopez ni mwanaume alijibadili kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 27.alifanya transsexual mkaka huyu ametokea nchini Chile na kuhamia sweden.alikuwa na dream za kuwa mwanamke tangia akiwa mdogo aliamini akifikisha miaka 18 angejibadili na akajibadili.

                                           
Vanessa anafanya kazi ya modeling ,na pia ni mshiriki wa Big brother sweden 2011.
                                             
Hapa alipoingia siku ya kwanza kwenye nyumba ya big brother,haruhusiwi toa siri kama yeye ni transexual mpaka washiriki wenzake wagundue,ingawa kunawanaume walimhisi ila hawakuwa na uhakika juu ya hili coz
mavazi yake,tabia ni ngumu kumjua kama ni mwanaume aliejibadili zote zinafanana mwanamke.

                                                
Bibie hapo kavaa swimwear nyeupe huwezi amini kama ni mwanaume kabisa kwa watakao penda angalia big brother wanaonyesha TV11 kwa walio sweden.

                                                              

                                                         
vidume kikichekelea havijui kama wapo na dume lenzao!

                                               
Big boobs anazo kweli hakuna kinacho shindikana duniani.
 Vanessa anasema ameamua kujitangaza kama amejibadili jinsia ya kiume kuwa kike ,mana Spain kati ya wanawake 3 uwaonapo basi ujue wawili ni transsexual,Madrid nako mitaa imejaa na matranssexual haoni haja ya kuficha 
                                             
                                            
                                                                                      
                            
kazi ipo pose ndio hizi huwezi amini kama ni dume,nahisi alikuwa mwanaume  mwenye hormone za kike kwa wingi. kaka zetu muwe makini kwenye mizunguko yenu mnaa balaa kadame kapo divalicious.

3 comments:

Anonymous said...

Haaaaaa mama nani balaa litoke wapi????????? mradi na Nonino nayo imebebadilishwa kwa raha zao wacha wakutane nae na tamaa zao za fisi ni pale wataposhangaa HACHOKI M2 ngoma droo mwanzo mwisho kudadadeki ulimi utawatoka km kobra
Ukipanda juu nae kapanda ukishuka mpo sawa eeh mechi kd 90 afu abila bila mpira wake huyu naisi mpk penalt nusi upoangalia anakutoa nishai vile vile

Anonymous said...

hahha hii kubwa kuliko

Anonymous said...

huyu binti nikweli nimemwona big brother da nouma

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...