Gucci is my favourites designer,the colors and textures alizotumia kwenye hii collection sinaubishi mana kazi ipo smart and gorgeous.hata kama kunamavazi yake mengine hayakuvutii basi hapa utavutiwa color alizotumia.
napenda hizi belt nyembamba kiunoni.
One shoulder dress kiunoni kama kawaida black belt ndio fashion ivi sasa ,i luv the design n dress color.
Jumpsuit simple and nice i luv the 2little fur swigg jamani hii color ni very sexy.
Gucci ni balaa hii russian style ndan ya purple color chini hizo boots
Flare trouser(juu nibanie chini niachie)za 90s naona zinarudi on fashion.
hili jacket refu nimelipenda linafaa, winter ukiwa na mtoko usiku na boots zako kama hizo huna wasi wasi wewe ni kuparty tu.
No comments:
Post a Comment