Apr 13, 2012

CUT OUT DRESS

             Guys it's friday today we gonna start w-end.What have you plan for this W-end!
                               Last w-end we were out and i had a great time with my baby dady .
             

                                                       I had colorfull cut out dress

Guys hili gown nililitafuta sana mpaka nikakata tamaa ila nikaja pewa zawadi
siku ya Anniversary yangu thanks my lovely dada Nancy
 i just found my self i luv gold accessories
My new hair do nilifumua nywele za kimasai sasa napumua
Cinema ni sehemu kubwa ya starehe  yetu mimi n Baby dady wangu
tukipata chance ya outing hilo ndio la kwanza mengine yanafata .Battleship Movie mpya
Rihanna yupo humo imetoka tarehe 11/april can't wait kuiona.
HAVE A NICE W-END
KISS



12 comments:

Marium said...

nyako umependeza ushapungua mara missing you

muke ya noel said...

muke wa noel @umependeza pacha langu.asante na wewe pia tumewamiss mkae salama na familia yako mbarikiwe,

Anonymous said...

umepenza juli gauni zuri

kokusimah said...

Kama kawaida wala sina wasi pendeza weye. Ntakurudishia call jioni choyii

Anonymous said...

hiyo movie atamie naiongea kwa hamu yapo kuwasio mpenzi mkubwa wa movies nimwone tu rihanna

Anonymous said...

dah hiyo gani utathan umezaliwa nayo imekaa sehemu yake.lol yaani umeuwa

Anonymous said...

mbaya sana iko kwa nelly.com kr 99:)Bahahahahah

Anonymous said...

gauni zuri kwa kweli..

JALUX'S FASHIONS said...

wew huyo huyo wasema zuri huyo wasema mbaya wivu.utakutoa roho chezea top.in town mwili unaingia.kila piaces ataka kr.5 vaa wew utume picha kama hatuja kimbizana mguu o kishandu kama ubao nipishe mie chefuuu

JALUX'S FASHIONS said...

asante my dear body curve inna matter kuifanya gauni likaeee

abelina said...

haloooo wew ni mkaree juli unakumbuka insangi na pamba za owinoo kampala ulikuwa unatisha yani wakuache pamba ujazijulia sweden umezianzia hukoooo zanakiii pale fire..posta mpyaaa jitegemeee mamaa siwezi malizia nyingiii

JALUX'S FASHIONS said...

uwii abelina wew upo?usinichekeshe yani umenikumbusha mbali owinoo.ivi musa wa jitegemee bado yupo?missing u badly

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...