Dec 9, 2010

VITU 1O VISIVYOTAKIWA KOSEKANA KWENYE POCHI YA MWANAMKE

What is in ladies handbag? They never leave them behind and will always carry them around.Hili swali wanaume wengi wanajiuliza na majibu hawapati ila sie wenyewe mashost tunajua siri yetu,na ni kheri nisitoke bila kubeba handbag na ikitokea sijabeba basi nitabeba atakapochi kadogo tu.

                                            
                           
                                  huu ndio ugonjwa wa wanawake  wengi.

Kwa mwanamke mrembo na anaejipenda basi lazima awe na list ya vipodozi vifuatavyo kwenye handa bag lake ,na haimaanishi mpaka uwe na mtoko ndio uwe navyo hapana mdawote viache humo,mana umetoka kazini ukajikuta umepata ofa na girllfriends zako, au una kidate so bibie huwezi toka uso umekupauka na midomo.jibebe kwenye handbag itakufanya uluk fresh na uonekane mrembo.    
                                                

MAKE UP FOUNDATION MANA HII NDIO INAKUFANYA UNG´ARE USO NA KUONEKANA NADHIFU ZAIDI
                                                                                                
 HAPA KUNA LIP GROSS NA LIPSTICK KÚPENDEZESHA MDOMO USIKAUKE UKAONEKANA VIBAYA.
                                     

EYE PENCIL (WANJA)NA KICHONGOE CHAKE USISAHAU .
                                                                                                                      
                                                            MASCARA YA KUPAKA KWENYE  KOPE.

EYE SHADOW
PERFUME NAYO MUHIMU ,KUNA ZILE ZENYE CHUPA NDOGO NDIO RAHISI KWA KUBEBA KILA SIKU.
                                                                                                                                                  
KWA WALE WAPENZI WA POWDER BLUSH MNAWEZA BEBA,HII HUPAKWA MASHAVUNI INATOKA RANGI KAMA NYEKUNDU KWA MBALI .
KIOO MANA KAZI YOTE HIYO, BILA KIOO UNAWEZA JIKUTA UMEJICHORA KAMA UNAENDA  KWENYE HALLOWEN.

MAKE UP BAG NAYO NDIO INAKUWEKEA VIPODOZI VYAKO VYOTE NA KUTO KUCHAFULIA HAND BAG YAKO NA MTU ASIJUE UMEBEBA NINI NDANI.


KITANA CHA NYWELE USISAHAU.HAYA SHOST MPAKA HAPA NADHANI UTAKUWA USHAMALIZA KWAKUTOKA MTOKO WAKO MDOGO AFTER JOB NA KUFREE KWENDA POPOTE.


UNASWALI AU MAONI WASILIANA NAMI 
 MUMY JALUX. KUPITIA JULLYLOSH@HOTMAIL.COM, HAVE A LOVELY WEEK END.                                              
                                                   

       
                                                                                  

4 comments:

Anonymous said...

nawashukuru kwakunifundisha kunavitu nilikuwa sijui thanks

Anonymous said...

asnte.mpenzi kwakutulisha vipodozi mana tunajisahau sana .mwanamke kujipamba hahahha tubadilike na ujue vyakujipambia.asnte mama blog

asha itali said...

asnte mama loshi mana kuna wenghine unakutana nao hawana hata vipodozi.wanasema srtess jamani nchi hii kila mtu anamawazo tusitilie manani tutazeeka siku si zetu dawa kupendeza.asante

zakia mashauzi said...

asante kwa ushauri mama blog

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...