Dec 10, 2010

WATCH OUT CELEBRITIES SWAGGER AT SOUL TRAIN AWARD

Ap101110067952
RAVEN NA KEISHA.KIATU CHA KEISHA KIPO POA,MNYAMA WA KEISHA SO HOT.

Ap101110067952
NIMEPENDA HAIR DO IPO SIMPLE NA TATOO YAKE MGUUNI IPO HUGE.


Ap101110067952
CHRISETE MICHEL AKIWA NA CHUICHUI YA KUBURUZA .
Ap101110067952
FAITH EVANS ,KAJIARIBU DADA HUYU UZURI WOTE UMEMWISHA KWA MADAWA YA KULEVYA.SO BAD

Ap101110067952
HAYA MASHOST STYLE ZA SWAGG NDIO HIZO NAWAPA.

Ap101110067952
TAMIA N CHILI VIATU VYAO VIPO HOT HOT

Ap101110067952
TARAJI NA TERRENCE,VIJIVAZI VIZURI KWA KUTOKA NA HUBBY WAKO.
                                                       
                         

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...