sherehe itaanza saa 9jioni vyakula na vinywaji vitakuwepo wote mnakaribishwa .
Adress itakapo fanyika sherehe ni
KISTA TORG7,
T/BANAN -KISTA CENTRUM.
utapanda TUNNELBANA YA AKALLA ,KWA WANAOTOKEA T_CENTRAL.
HAPO NDIO UTAKAPO SHUKIA KAMA UMEPANDA TUNNELBANA.MAZINGIRA YAFANAN HIVYO UJUE UMEFIKA KISTA CENTRUM WOTE MNAKARIBISHWA. |
1 comment:
duh!! afazali napiga zangu chai tu bajeti ya mchana mpk jioni Kista kudadadeki sijui wataruhusu kubeba
Post a Comment