huu ndio ugonjwa wa wanawake wengi.
Kwa mwanamke mrembo na anaejipenda basi lazima awe na list ya vipodozi vifuatavyo kwenye handa bag lake ,na haimaanishi mpaka uwe na mtoko ndio uwe navyo hapana mdawote viache humo,mana umetoka kazini ukajikuta umepata ofa na girllfriends zako, au una kidate so bibie huwezi toka uso umekupauka na midomo.jibebe kwenye handbag itakufanya uluk fresh na uonekane mrembo.
MAKE UP FOUNDATION MANA HII NDIO INAKUFANYA UNG´ARE USO NA KUONEKANA NADHIFU ZAIDI |
HAPA KUNA LIP GROSS NA LIPSTICK KÚPENDEZESHA MDOMO USIKAUKE UKAONEKANA VIBAYA.
EYE PENCIL (WANJA)NA KICHONGOE CHAKE USISAHAU . |
MASCARA YA KUPAKA KWENYE KOPE.
EYE SHADOW |
PERFUME NAYO MUHIMU ,KUNA ZILE ZENYE CHUPA NDOGO NDIO RAHISI KWA KUBEBA KILA SIKU. |
KWA WALE WAPENZI WA POWDER BLUSH MNAWEZA BEBA,HII HUPAKWA MASHAVUNI INATOKA RANGI KAMA NYEKUNDU KWA MBALI . |
KIOO MANA KAZI YOTE HIYO, BILA KIOO UNAWEZA JIKUTA UMEJICHORA KAMA UNAENDA KWENYE HALLOWEN. MAKE UP BAG NAYO NDIO INAKUWEKEA VIPODOZI VYAKO VYOTE NA KUTO KUCHAFULIA HAND BAG YAKO NA MTU ASIJUE UMEBEBA NINI NDANI. |
KITANA CHA NYWELE USISAHAU.HAYA SHOST MPAKA HAPA NADHANI UTAKUWA USHAMALIZA KWAKUTOKA MTOKO WAKO MDOGO AFTER JOB NA KUFREE KWENDA POPOTE. |
UNASWALI AU MAONI WASILIANA NAMI
MUMY JALUX. KUPITIA JULLYLOSH@HOTMAIL.COM, HAVE A LOVELY WEEK END.
4 comments:
nawashukuru kwakunifundisha kunavitu nilikuwa sijui thanks
asnte.mpenzi kwakutulisha vipodozi mana tunajisahau sana .mwanamke kujipamba hahahha tubadilike na ujue vyakujipambia.asnte mama blog
asnte mama loshi mana kuna wenghine unakutana nao hawana hata vipodozi.wanasema srtess jamani nchi hii kila mtu anamawazo tusitilie manani tutazeeka siku si zetu dawa kupendeza.asante
asante kwa ushauri mama blog
Post a Comment