Unaplan gani w-end hii?Kama huna unaweza kwenda kuiona hii movie
ni nzuri! itaonyeshwa kwa mara ya kwanza kesho Cinema kwa sweden,kwa wale wa nchi nyingine sijajua ratiba zao, inavituko mpaka basi.i cant wait kuiona!
Inawadada wa ukweli Jlo,Cameron diaz,Brooklyn
No comments:
Post a Comment