Jan 18, 2011

ELTON JOHN AMPA JINA MWANAE!!!!

Mwishoni mwa 2010 mwanamuziki Elton John alipata mtoto kiume ,na mmewe David.18Jan ambayo ni jana elton na mmewe david wametangaza jina la mtoto wao anaitwa Zachary jackson levon furnishjohn.walimpata mtoto kupitia surrogate,yani mwanake kapandikiziwa mbegu za mmewe elton john na alipozaa mtoto ndio kampa elton.jamani dunia inamambo sasa mtoto atamwita elton mama ingawa anamwona anamaumbile ya kiume.


                                                     
                                                               David na mkewe Elton john.

                                                     Meet the parents: Eccentrically-dressed Elton John and David Furnish on the singer's 54th birthday

                                                elton poses with david and zachary and talks about his son
                 baby zachary akipose kwenye magazine ya ok na wazazi wake

4 comments:

Anonymous said...

laana tu hiyo

Anonymous said...

mtu mzima ovyo

Anonymous said...

mmmm jamani akikua hataacha

Anonymous said...

Mungu atusaidie, shetani anazidi kutawala, pole kwa mtoto huyo maskini ya Mungu. dunia ina mambo.

Kokusima

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...