Jul 6, 2011

ZAWADI NI ZAWADI

Inapofika mda wa kutoa zawadi kwenye maharusi haijalishi umeleta nini ilimradi ni zawadi tu umeifunga na ikapendeza ,je hii zawadi wewe unaweza ukaibeba!

                                         

5 comments:

Anonymous said...

hahhaha sasa huyo mbuzi au mbwa

Anonymous said...

zawadi ni nzuri ila ni stress wa wanaharusi mana anataka awape majukumu walio pangilia ufugaji

Anonymous said...

mi napokea then tunakula supu jamani c unajua wakati wa kuwa ndani ni wiki mbili namla huyooo.nikitokaaa mneneee.

Anonymous said...

hahhha kambuzi kadogo hako utakala ivo ivo

Anonymous said...

nakala hivyo hivyo ilimradi kanatembea teteee,aaaw ckaachi jamani.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...