Jan 2, 2011

SHANIA TWAIN TIES THE KNOT

Shania twain is married once again.shortly after announcing their engagement.
shania mwanamziki wa miziki ya country na pop,toka nchini canada mwenye umri wa miaka 45 amefunga ndoa 1-1-2011.kauanza mwaka kwa kuuaga ukapera ndoa yao ilifanyika Puerto Rico,mmewe ni Frederic thiebaud bussinnes man.but this couple got a fun story,frederic mme mpya wa shania alimwacha mkewe Marie -anne sababu alikuwa na mahusiano na mmewe shania wa zamani,sasa bwana huyu akaona isiwe tabu nayeye akaamua amuoe shania twain mwaka huu lol.


                                   
                                   frederic n twain siku ya harusi yao.


                                  
                                                  shania n frideric

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...