Jan 2, 2011

KATY PERRY LOOKS TERRIBLE WITHOUT MAKE UPS!!!!

Katy perry getting action on this new year's,after the husband Russel tweets her photos without make ups.ni kichekesho mana kaiweka na kwaharaka kaitoa,swala zima la computer huwezi cheats kama uweke na kutoa hapo hapo nikujidanganya,kunawatu wanakesha kwenye computer jamani,huu mfano mzuri kama unapicha ya ajabu usisubutu weka ukajua watu hawata iona.sasa mcutie katy picha zake zinatambaa kila sehemu.


                                       
Katy perry bila make ups .picha alio tweets russel.shost anaonekana so sexy na make ups kumbe kunamengi anayaficha.


             
 katy akiwa na make ups ,utasema ni watu wawili tofauti.kweli make ups huficha mengi.
                                           

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...