Aug 16, 2012

STRAPLESS MAXI DRESS

Strapless Color Block Maxi dress

Thanks !Team masai kwa stylish sandals
i heart this Maxi dress .


Necklace ya kiasili zaidi made from bongo ,my red  handbag from Mango shop 

XOXO

4 comments:

Anonymous said...

Mume wa murundi pendeza@

Anonymous said...

hee, mume au mke nadhani we mdau hapo juu umechanganya, herufi au? umependeza sana huna mambo ya kichina kama manywele na ngozi iliyobabuliwa. una mvuto wa kutosha. kama flavian matata na yule mrembo wa sudani jina lake nimenitoka.UKO JUUU KAMA MAWINGU MDOGO WANGU.

kokusimah said...

Pendeza mama Buyando. Ahahaa nilisafiri na Flavi to Kenya kumbe ni mfupi na wakawaida sana hakuwa na Make up that day lol Julie upo juu tafta chance ukamodelike tuache dhiki sie

JALUX'S FASHIONS said...

asante sana simah ,nikweli wa kawaida sana sema siunajua mambo ya photoshop yanakukuza unakuwa bomba,nilipata moja hapa stockholm (house of fashions)sema conditions zao zilinishinda ngumu kwa mimi mwenye na mtoto mdogo na familia

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...