May 8, 2012

MOVIE TIME-''BATTLESHIP''

Battle Ship ndani ya W-end ,nilikuwa nahamu kubwa ya kuiona  nimwone Rihanna
                  alivyoact mana ni movie yake ya kwanza ya Action ilitangazwa sana.
Muke ya murundi ikisubiri musosi
My Dude
Yam yam hii ndio inanipa kitambi

yam yam
ikafika movie time yani nilikuwa excited kuona Battleship ila Rihanna
alinidisapoint kabisa kwenye kuact yani bado bado  naona yeye kipaji
chake ni kuimba Movies amwachie tu Chriss Brown ndio anaziwezea!
off to home
Pose za Usain Bolt nampendaje

3 comments:

Anonymous said...

u look gud aunt yao...

JALUX'S FASHIONS said...

asante

Anonymous said...

nimempenda mrundi wako yupo so elegent hongera

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...