Kuna tetesi za Kim kuanza kuplan wedding yake na Kanye.kwa sasa wapo kwenye
mapenzi moto moto,Kim atadivorce paper hajamalizia na ndoa ya pili inapangwa hii kali ,anafata nyayo za Jlo mana nae anaplan ya kuelekea kwenye ndoa ya 4
Jlo kapata kaserengeti boy ambae ni mmoja wa dancer wake.
Casper anamiaka 21 ni nusu ya Jlo
Anasema wanaplan ya kuowana mana Toy boy wake anapenda sana watoto wake.
good to go gal ila Marc ndio alikufaa zaidi.
No comments:
Post a Comment