Jan 2, 2012

MISHEMISHE ZA KUUGA MWAKA 2011

Happy new year guys hope wote wazima.kwenye kusherekea sikuu za mwisho wa mwaka sie tulizisherekea hivi



New Msasani club kwa wana Fm academia Nancy na salama

fm academia

tukilisakata na salama


tuliamua kuhama kijiwe kubadili ladha ya mziki

@nyumbani lounge
Nancy aliishezaje yalaiti
yap linah alikuwepo alitupa burudani
mumy B doing her tings
Sexy linah
i luv her shoez
pipo wakienjoy
bila huyu machozi band haibambi alitunyongesha balaa

5 comments:

Anonymous said...

Mmechemsha lol...yani kufanya kazi kote ndo unaenda kula bata Msasani hahaaaa hamjui viwanja bana...si muulize watu wakwambieni sehem zinazo bamba Dar.

Anonymous said...

ishi uwezavyo na sio kung'ang'aniza wengine wawezavyo.picha na maelezo yako havi match coz tuliona pic yako na gauni jeusi before friday.so how come?labda ufake kidogo maelezo kama ulivyozoea!!

Anonymous said...

he blue shoes na blue purse ni vya familia??!!nilikuwa sijui kama mnalingana hadi namba za viatu!!

Anonymous said...

nimependa lina alivyopendeza anajua kuvaa baana bongo wa2 wanalipukaaa puuuu.....

mamaloshi said...

HAHAHHAHHA ACHA WIVU BI MDAU SISI TUNAKULA BATA LETU KWA RAHA ZETU SIO KWAAJILI YA FULANI OK HILO UJUE .HAPA MWANZO MWISHO SIZESALE RANGI SALE KUVALIANA NI RAHA YETU WEWEPITA TU KUKODOA MACHO NAWEWE MDA WAKO UKIFIKA UTAKULA BATA ZAM ZAM TOA SHAKA MAISHA KUJIAMINI KUJIPANGA UNADHANI TULIKURUPUKA TU HAHHAHAHHAH JIPANGE UPANGIKE .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...