Dec 6, 2011

WOLPER ALIHARIBU POSE ZOTE



                                  WOLPER ALIPENDEZA KWENYE HARUSI YA JACKIE CLIFF ILA SIKUELEWA UMUHIMU WA HIZO HEAD PHONE,SEHEMU KAMA HIYO NDIO SWAGG? 
                
UKITOA HIZO HEAD PHONE BILA SHAKA UNGENOGA ZAIDI MANA MAKE UP WAS OKEY,SHOEZ,ACCESSORIES.

                                                             

6 comments:

INAMOTO said...

mi sio wa pamba kiviiiiiiiiile ila huyu dada hakuna shuguli atayoenda bila kuchemka yani lazima. izo ndude kweli zipo inn kibongobongo ila harusini???? au na gauni km ivo???????? NI ushamba tu wakutaka watu wajue anazo.

Sura anayo sn hata bila makeup uyu anamvuto shedo imekaa lips zimetulia, mikorobwezo kibao hereni kibao,mcheni wa kuninginia, mabangili yani kwa outfit ya harusi mtokoto

Anonymous said...

She is so sex and hot,more than mwenye blog mwenyewe...i wanna see how you look yo self first.

Anonymous said...

Mchaga mwenye mvutoo.mana wachanga kuwakuta na miguu au shape kam ya wolper ni shidaaaaa

Anonymous said...

Kiukweli amejiaccessorize mno kama mganga wa kienyeji

Anonymous said...

Sexy wolper aka amber rose

Anonymous said...

hahahahahahaha mbona jimama?aingie gmy kwanza ndo arudi.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...