WOLPER ALIPENDEZA KWENYE HARUSI YA JACKIE CLIFF ILA SIKUELEWA UMUHIMU WA HIZO HEAD PHONE,SEHEMU KAMA HIYO NDIO SWAGG?
UKITOA HIZO HEAD PHONE BILA SHAKA UNGENOGA ZAIDI MANA MAKE UP WAS OKEY,SHOEZ,ACCESSORIES.
6 comments:
INAMOTO
said...
mi sio wa pamba kiviiiiiiiiile ila huyu dada hakuna shuguli atayoenda bila kuchemka yani lazima. izo ndude kweli zipo inn kibongobongo ila harusini???? au na gauni km ivo???????? NI ushamba tu wakutaka watu wajue anazo.
Sura anayo sn hata bila makeup uyu anamvuto shedo imekaa lips zimetulia, mikorobwezo kibao hereni kibao,mcheni wa kuninginia, mabangili yani kwa outfit ya harusi mtokoto

She is so sex and hot,more than mwenye blog mwenyewe...i wanna see how you look yo self first.
Mchaga mwenye mvutoo.mana wachanga kuwakuta na miguu au shape kam ya wolper ni shidaaaaa
Kiukweli amejiaccessorize mno kama mganga wa kienyeji
Sexy wolper aka amber rose
hahahahahahaha mbona jimama?aingie gmy kwanza ndo arudi.
Post a Comment