HIZI PANTS NIMEONA WADADA WAKIZIFAA KWA KASI WENGINE ZINAWAPENDEZA ,NA WENGINE ZINAWAKATAA JE WEWE UNAZIONAJE
ZINAPENDEZA KWA VIATUVYA AINA GANI NA TOP GANI,KWA WANAOJUA WATUPE TIPS MANA ZIPO COMPLICATED!
1 comment:
Anonymous
said...
Kabura jamani sio km sikuelewi unaeleweka ila hapo sio tadhimini ni TATHMIN kuna T na si D. Izi suruali bwana mi sina la kusema mana sizielewi hapa mbele panalendemka sn afu naisi nyuma ukiwa flat kgd ndo poa ila ukiwa una mtukunyema huku mbele ndo do utasema busha
1 comment:
Kabura jamani sio km sikuelewi unaeleweka ila hapo sio tadhimini ni TATHMIN kuna T na si D.
Izi suruali bwana mi sina la kusema mana sizielewi hapa mbele panalendemka sn afu naisi nyuma ukiwa flat kgd ndo poa ila ukiwa una mtukunyema huku mbele ndo do utasema busha
Post a Comment