Apr 24, 2011

JE UNAZITADHMINI VP HIZI PANTS!

HIZI PANTS NIMEONA WADADA WAKIZIFAA KWA KASI WENGINE ZINAWAPENDEZA ,NA WENGINE ZINAWAKATAA JE WEWE UNAZIONAJE
                                Women Who Wear the Pants in Hollywood

 ZINAPENDEZA KWA VIATUVYA AINA GANI NA TOP GANI,KWA WANAOJUA WATUPE TIPS MANA ZIPO COMPLICATED!

1 comment:

Anonymous said...

Kabura jamani sio km sikuelewi unaeleweka ila hapo sio tadhimini ni TATHMIN kuna T na si D.
Izi suruali bwana mi sina la kusema mana sizielewi hapa mbele panalendemka sn afu naisi nyuma ukiwa flat kgd ndo poa ila ukiwa una mtukunyema huku mbele ndo do utasema busha

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...