Inasemekana rihanna ni celebrity anaeongoza kuwa na gharama kubwa kwa mwaka kwa kulipia kutengeneza nywele zake utafiti uliofanywana Uk Daily Mail.
Ursula Stephen.ndio hair stylist wa Riri ukiona kaweka nyeusi ,nyekundu ,ndefu ,fupi basi huyo ndio anaehusika na kichwa cha rihanna ,anakiwezea ni mara chache sana ukute riri anachukiza na nywele kazi nzuri Ursula.
hii style ilipendwa sana.
hizi ndio nywele zake kwa sasa
two tone color
4 comments:
Nawewe unatumia kiasi gani kutengeza nywele zako.
uongo dhambi huyo ursula kafanana na joti we2wa ze comedy,ha ha haaaa yaninusu niseme we mama B na joti yuko juu eh,jamaniii.
mie wala sina makuu swedish kr 500 kwa mwezi mmoja au miwili ndio gharama yangu kutengeneza hair. kwangu gharama inaenda kwenye kununua mawig ambayo naweza nunua mara mbilia au tatu kwa mwaka asante mdau hope nimekujibu
mama B
LOLEST JOTT YUPO JUU SIUNAONA MAKE UP AKIPANGA ANAJIWEZEA NA NYWELE ANATUSHINDA ATAWANAWAKE BANA
Post a Comment