Aug 14, 2011

I LUV THIS SONG

HUU WIMBO NIMEUPENDA UMEWAKUSANYISHA WANAMZIKI PAMOJA NA KUIMBA ,T-SHIRT ZAO NYEUPE ZIMEWAFANYA WANG'ARE,HAPA KILA MTU ANAPOIMBA NDIO UNAONA UTOFAUTI WA KIPAJI CHA KILA MMOJA!WAMEPANGA MASHAIRI YENYE UJUMBE MZURI WA KUIPAMBA TANZANIA INGAWA INAMATATIZO LUKUKU LOL

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...