Hatimae sarah amebarikiwa kujifungua mtoto wa kike salama baada ya safari ndefu aliyokuwa nayo ,mungu akujalie kichuna chako umkuze salama mwenye afya njema.
WE CANT WAIT TO SEE ANOTHER NEW MUMY IN TOWN AMMEY MUNGU AKUWEKEE WEPESI NA UJIFUNGUE SALAMA MY DEAR.
4 comments:
mtotot mkubwa mashalaaah
hongera sarah welcome to the world of mama's
mashalaah kichuna
asante na Mungu maomi kayasikia
Post a Comment