Mmama wa miaka 47 aitwae Mwanahamisi Mruke,ni mwanamke alieajiriwa na mwanamke seeda khan kwa kumfanyia kazi za nyumbani huko uingereza.mwanahamisi alichukuliwa na huyo mama mwaka 2006 toka Dar na
kumpeleka uk katika mji wa Harrow north west london.Kwa makubaliano ya kwamba atamlipa pound 50kwa mwezi ambayo ni sawa na 120,000sh za kitanzania ambayo atakuwa anaituma direct kwa mwanae anaesoma chuo ili alipie ada.
nyumba aliyokuwa anafanyia kazi mama wa tz
ila huyo bosi wake alibadilika kazi haikwenda kama walivyoelewana akawa anafanyishwa kazi masaa 20 kwa siku bila mapumziko,bila malipo na alimnyang'anya passport yake ili asimkimbie huyo mwajiri wake.Mwanahamisi alikuwa akishindia slace za mikate miwili siku nzima na akinyimwa chakula na huyo mwajiri wake.
1 comment:
HURUMA JAMANI WA2 WENGINE WANA ROHO MBAYA KWELI KAZI AFANYE NA CHAKULA UMNYIMEE.MUNGU ATUHURUMIE
Post a Comment