Oct 11, 2011

SHE IS MORE THAN A SISTER I LUV HER SOOO MUCH

KWENYE MAISHA YETU YA KAWAIDA NADHANI KILA MTU ,ANAMTU KIPENZI CHAKE UKITOA MMEWE AU BF,KWA UPANDE WANGU NINAMPENDA SANA DADA YANGU NANCY MANA ANAMANA NYINGI SANA KWENYE MAISHA YANGU NA LEO NIMEJISIKIA NIMWONYESHE JINSI GANI NAMPENDA KUPITIA ARTICLE.
she is a some one who luvs me from the heart,no matter how much i argue
 she can't be drawn apart
 friend who helps me through difficult times,she plays her part like a mumy,aunt,bibi sijui niexpress vp ,unajali maisha yangu kwa hisia zote za kucheka na kulia!
nitakushika mikono yako na tuianze safari,kwa pamoja tutasimama na kwapamoja tutaanguka
kwamwe sitokuweka nyuma,no matter what God will keep us together.
sister is a blessing,  she fills my heart with love,
She flies with me in life with the beauty of a dove.nipo upande wako popote utembeapo usisite ,ukianguka nitakuokota,ukikwama nitakusukumanamshukuru mungu kila niamkapo kwa kunibariki dada mwenye upendo wa ajabu kama wewe.am proudy of you no matter what!
she is as sweet as chocolaten smooth as fudges,to me your my angle.
your my best friend i have never had,sihitaji best friend zaidi yako najua hatonienyesha mapenzi ya dhati,
yenye ukweli ,upendo inamani na kujali.wat i can say
I LOVE U NANCY

16 comments:

Anonymous said...

mmh maneno mazuri hongera mamalosh kwa kupendwa

Anonymous said...

wat a lovely article jalux may gud blessing you,

Anonymous said...

Safi ndugu, happy to be one of her best friend. I luv i Nancy.

Simah

Anonymous said...

Ndugu mkipendan hivi ni raha mungu awapenguvu zaidi nancy ndio nani hapo

Anonymous said...

Mnafanana wenyew wazuri mama yenu kabarikiwa

Anonymous said...

MMMMMMMMMMMMMHHHHHHHHHHHH.....MMEPENDEZAAAAAAAAAAAA NYIIIIIIIIIIIEEEEEEEEEEE.MWAAAAAAAAAAAAAAAA.

Anonymous said...

ki2 munakosea hamuambiani ukweli hata kdg juu huwezi jua kila ki2 chini ya hii jua ndomana munakuwa kichekesho ibland but umefanya poa kuandika no matter wat

Anonymous said...

Jamani ushambiwa no matter what anampenda sasa unalia nini tena mbona hamkosi kasoro binadamu au angeandika anamchukia ndio mngefurahi kaaa mnaboo we chukiana na ndug zako wao ndio washapendana

Anonymous said...

Maisha yetu tunayafurahia na ndio mana tunaishi sasa hauishi kuwafurahisha nyie.we are living for the fullest kama kwako vichekesho iyo shida yako.
Jalux

Anonymous said...

Hahaha katafute msusi arudishe rasta ulizo nyonyolewa next time.utatolewa huo mdomo unaongea maneno machafu usio na adabu.

Anonymous said...

NACHUKIA SN SN SN MAMBO BINAFSI YAKILETWA KWENYE BLOG KASEMA ANAMPENDA DADAKE INAELEWEKA SASA WEWE UNAELETA MAMBO YA RASTA YANATOKA WAPI??????? ACHENI IZO MAMBO BWANA YASHAPITA HAYO

mamaloshi said...

asante sana mama brandoni tangu zamani nilikuwa nakwambia nakupenda sana tena sana popote niendapo sitokuacha dogo langu then mungu amejibu maombi yangu .yaniiiii sina lakushukuru kwani wajua maisha yetu hahahhaha nakupenda kumoyo .pamoja salimia familia yako.tutazidi kupendana tu asanteni wte .

Anonymous said...

Lol!

Anonymous said...

Mmejuaje km mnyolewa rasta ndo mwandish wa maneno hayo? Ehehee

Anonymous said...

Ndio yeye huyo.amatukana watu humu comment zake zimefutwa huu sio ukumbi wa malumbano na matusi .kama yey ni gwiji wa matusi atafute ajira ili aingize pesa ila humu no ujinga wa kutukana watu na kashfa

Mumy b

Anonymous said...

Mnafanana, mmependeza. undugu si kufanana ni kupendana na kusaidiana. wanaojifanya wanawajua sana tupa kule. Be blessed

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...