katika wasanii wa kike wa bongo wanaojali nywele jackie wolper anaongoza kama ni mfatiliaji mkubwa wa huyu dada kawaida hakai na nywele kwa mda mrefu.anawashinda hata wale wanaotangaza Tv ambao wanaonekana kila siku tofauti na yeye movie mpaka movie.hapa amekata nywele na kuweka blonde color amecopy toka kwa Amber rose ilaimempendeza sana.
3 comments:
kweli kapendeza haya wakuiga igeni jamani
Pendeza wolper mbona aunt ezekiel nae anapenda nywele zake
yaaaaaaaaaaap yaaaaaaaaaap yaaaaaaaaap
Post a Comment