May 4, 2011

HAPPY BIRTHDAY OUR LOVELY MUMY


4TH MAY KILA MWAKA MUMY WETU KIPENZI ANAFURAHIA BIRTHDAY YAKE,MUNGU AKUONGOZE AKUPE SIKU NYINGI ZA KUISHI HAPA DUNIA ZENYE  AFYA ,AMANI NA UPENDO NA AZIDI KUKUBARIKI NA KAZI YAKO.HATUNA MENGI YA KUSEMA OUR LOVELY MUMY ZAIDI YA KUKWAMBIA TUNAKUPENDA SANA.  

3 comments:

JALUX'S FASHIONS said...

HAPPY BELATED BIRTHDAY MUMY,

Anonymous said...

mumy wetu happy birthday ,miguu mashalaah

Anonymous said...

jamani ndio mana mnamiguu minene kama bi mkubwa hongereni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...