Dec 3, 2010

NI NINI KINAWAFANYA CELEBRITIES KUPIGA PICHA AU TAPE ZA UCHI

MACELEBRITY WENGI WA MAREKANI NA AFRICA  WAMEKUWA NA TABIA YA KUPIGA
PICHA ZA UCHI  AU KUCHUKUA VIDEO BILA YA KUJALI WAO NI VIOO VYA JAMII NA WATU WENGI WANAJIULIZA KWANINI WANAFANYA IVO,WENGI WAO INASEMEKANA
HUFANYA SEXY TAPE AU PICHA ILI KUKUZA MAJINA YAOKUPITIA  VYOMBO VYA HABARI KAMA PARIS HILTON KESHA TOKA NA SEXY TAPE ZAIDI YA MARA MOJA ,NA SWALI KUBWA LINAKUJA JE KWA WALE WA AFRICA WANAPATA FAIDA GANI KWANI HUJIWEKA UWAZI MIILI YAO NA HAKUNA MALIPO NA ATAKAMA YAPO NI MADOGO SANA ILA WAKINA PARIS ,KIM NA WENGINE HUUZA NA KUPATA FAIDA.YOTE HAYA KWA UJUMLA NI UJINGA NA UDHALILISHAJI KWA WANAWAKE DUNIANI.WAAFRICA TUAMKE MAMBO YA WESTERN CULTURE SIO YETU HAYATUPENDEZI.

KIM KARDISHIAN AKIWA NA MWANAMZIKI RAY J AMBE NDIO WALIFANYA NAE SEX TAPE

PARIS HILTON NAE ALICHEZA SEX TAPE 2003 NA MWAKA HUU TENA 2010.

                                                     
    AISHA MADINDA AMBAE NI MCHEZAJI WA TWANGA PEPETA ALIPIGA PICHA 2010

7 comments:

happy said...

they are just stupid if they wanna get money in that way

side said...

aisha madinda ni unga na bangi ndio zinampeleka pabaya dada yetu.

Anonymous said...

kwikwikwi hakunalolote wanataka umaarufu hao.

sandra said...

hopeless celebrity

Anonymous said...

hahha niliona clip ya ray j akimkaza kim si mchezo full mayoye kim analia kimahaba

Anonymous said...

paris hilton hazinamo huyo ni mwehu anapenda sana kuuza sura analazimisha usuper star

Anonymous said...

lol uandawazimu sio mpaka uokote mapoko huyo tayari ni super star sasa ataulazimisha vp tena,tetetet

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...