Dec 3, 2010

HUU NI MDA MUAFAKA WA KUANDAA ZAWADI ZAKO ZA CHRISTMAS



CHRISTMAS NI SIKUKUU KUBWA SANA ,KILA PANDE ZA DUNIA HUISHEREKEA NA KUFANYA  KUJUMUISHA FAMILIA ,NDUGU JAMAA  PAMOJA KATIKA KUISHEREKEA
NA HAKUNA KITU KIZURI KAMA FAMILIA KUKUTANA PAMOJA NA KUFURAHI HIVYO
BASI NI JAMBO LA KAWAIDA WATU KUPEANA ZAWADI WAKATI WA CHRISTMASS NA
KUJIANDAA KUUMALIZA MWAKA NI VIZURI UKAPLAN ZAWADI GANI UTAMNUNULIA
MPENZI WAKO ,DADA YAKO ,BABA YAKO NA RAFIKI ZAKO MAPEMA KABLA CHRISTM
AS HAIJAFIKA SIO IMEFIKA NDIO UNAANZA ANGAIKA MADUKANI NA MWISHOWE
UNAJIKUTA UNANUNUA ZAWADI YA AJABU NA USIO ITEGEMEA ,HUU NDIO MDA WA
KUCHAGUA ZAWADI.KILA LAKHERI WINDOWSHOP NI BURE.

WATCH

HANDBAG

MEN SUIT

PERFUM

     
HIYO NI MIFANO YA ZAWADI  AMBAZO UNAWEZA UKANUNUA.

1 comment:

Anonymous said...

omo don make me fall inlove ooooooooooooooo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...