CHRISTMAS NI SIKUKUU KUBWA SANA ,KILA PANDE ZA DUNIA HUISHEREKEA NA KUFANYA KUJUMUISHA FAMILIA ,NDUGU JAMAA PAMOJA KATIKA KUISHEREKEA
NA HAKUNA KITU KIZURI KAMA FAMILIA KUKUTANA PAMOJA NA KUFURAHI HIVYO
BASI NI JAMBO LA KAWAIDA WATU KUPEANA ZAWADI WAKATI WA CHRISTMASS NA
KUJIANDAA KUUMALIZA MWAKA NI VIZURI UKAPLAN ZAWADI GANI UTAMNUNULIA
MPENZI WAKO ,DADA YAKO ,BABA YAKO NA RAFIKI ZAKO MAPEMA KABLA CHRISTM
AS HAIJAFIKA SIO IMEFIKA NDIO UNAANZA ANGAIKA MADUKANI NA MWISHOWE
UNAJIKUTA UNANUNUA ZAWADI YA AJABU NA USIO ITEGEMEA ,HUU NDIO MDA WA
KUCHAGUA ZAWADI.KILA LAKHERI WINDOWSHOP NI BURE.
WATCH |
HANDBAG |
MEN SUIT |
PERFUM |
1 comment:
omo don make me fall inlove ooooooooooooooo
Post a Comment