Tanzania imekuwa sio nchi huru huwezi lilia haki yako yapo unaonewa!
MATOKEO YAKE WATAKUDHURU NA HATA KUKUTOA UHAI WAKO,
HUYU NI KIONGOZI MKUU WA MADAKTARI TANZANIA,ALITEKWA
na kupigwa kwa malengo ya kuuwawa, ila siku yake haikufika mungu kamnusuru.Siri
imetoka selikali itaiambia nini na jamii ishajua mchezo wao mchafu.
Waliimchagua wenyewe Raisi wao kwa kudanganywa na maneno
matamu sasa wanapangwa kama viazi mahospitalini uruma sana.
Nawajawazito nao wanalia kwa style hii hope next time watachagua kiongozi bora
nakutumia kura zao ki halali!
No comments:
Post a Comment