May 20, 2012

I LUV THIS JUMPSUIT


Hey dolls za toka w-end hope !mlienjoy kulikuwa  na hali ya hewa nzuri .
W-end hii nilikuwa nahang out with my gals, nikakutana na mdada mmoja amevaa hii jumpsuit nilimtazama mpaka alipotokomea. Naombeni mswada kama kunamtu kaiona madukani pls naomba mnisaidie kunijuzu ni duka gani nimeipenda mno.VIZURI KULA NA WENZIO
VIBAYA
MTUPIE MBWA'

5 comments:

Anonymous said...

loo nzuri ila kwa wasio na vitambi jamanii.

mamaloshi said...

hahahhahha naona umeguswa nipo free ntapita maduka ya ukweli nipe weak ntakupa jibu.kichekoooooooooo.mamaloshi

JALUX'S FASHIONS said...

kweli kama mtu anakitambi hapo hapendezi, mimi kitambi changu kiduchi nikikibana na spanx basi nimemaliza kazi

JALUX'S FASHIONS said...

asante mama loshi nakungojea yani nimeipenda sana sijui hiyo ming'aro ng'aro

Anonymous said...

hata mbwa hali vibaya haaaaaaaaa....

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...