May 31, 2012

FASHION DISCUSSION -KANDAMBILI NA LONG DRESS INAPENDEZA AU MCHEMKO!!

Zoe ni fashionista wa ukweli ila hapa sikumwelewa ,alivaa high heels
akachoka ndio akaamua kuvaa kandambili au ndio ilikuwa mtoko wake wa siku!
unaonaje hilo kandambili na long dress inapendeza au mchemko?

1 comment:

mamalao said...

sijaikubali hii kabsa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...