HEY GUYS SASA NIMERUDI NA PROJECT YANGU NIMESHAIMALIZA NDIO HII HAPA FROM BLOG TO STORE JALUX BLOG IMEAMUA KUJIWEKEZA KWENYE BIASHARA DUKA LETU NI JIPYA LINAWEEK YA MOJA TANGU LIFUNGULIWE LIPO MAENEO YA MWENGE MWISHO-
UKIULIZA MTAA WA WASUSI BASI -KAMA UTATOKEA MWENGE SOKONI UTAONA KITUO CHA POLISI SASA MTAA UNAOFATA NENDA MOJA KWA MOJA MKONO WA KULIA UTAONA HILO BANGO HAPO JUU NA MAELEZO YANAJIELEZA!UKIFIKA BILA SHAKA UTAKUTA SWAGG ZA KILA AINA NA NGUO ZETU ZINAUBORA MKUBWA
VIATU NAVYO VIPO -VITUPIO-CLUCH -RANGI ZA KUCHA,
ACCESSORIES NA UNDERWEAR KARIBUNI NYOTE
XOXO
|
2 comments:
hongera mpenzi,hayo ndio maendeleo sasa umetisha mungu akuongoze
asante my dear
Post a Comment