My little dada
Norah na wifie
Hakuna ubishi wajaluo warembo bana
i luv the deco
Yum yum ilipambwa na roses i cant imagine nimeimiss hii harusi
My mjomba akipokea cake huyo ndio kaka wa Mama yangu
Norah alimpa dady zawadi ya Ipad na my mjomba alimjibu utaamu
Here we go baby
Mana ilikuwa kama my super sweet16 dady katoa funguo ya gari wooow her new ride wajaluo juu
Mwaah thanks mumy !Norah na mama yake
wakatikati ni Johnson ndio kaka wake Norah na wakulia nikuzin Osango
mjomba ni noma!kaka yake norah alipooa nae alilamba gariii
Njenje live
My kuzin alikuwa suprise aliposikia nimekuwa baby ya Murundi sasa na yeye amekuwa Muke ya
Emmanuel live welcome to Luo family bwashemeji.
''Baby hii ndio chakula yetu wajaluo usiogope lolest!My shem utazoea my Murundi nae alikuwa
ivo ivo
My wiii muke ya Mujaluo (mke wa Johnson kaka yake Norah)
HII SIKU NORAH ALIPO HALALISHWA KUWA MUKE YA EMMANUEL
STAY TUNED KWA PICHA ZA HARUSI
XOXO
4 comments:
Walipendeza .sana.mwaka.huu .wajaluo .ndoa zimetawala @ mungu awajalie maisha mema .
Amina my dear umeonna wajaluo juu
Thanks sister mlimic sije? na nimewamic ile mbaya I love u all
Tunangja .ya muke wa murundi .@na muke wa noeli @Nancy.
Post a Comment