Jul 29, 2012

JE ULIKUWA UNAFAHAMU KAMA NELLY KAMWELU NI MRUSSIA!!!!

NELLY KAMWELU ALIEKUWA MISS UNIVERSE TANZANIA 2011
AKIONYESHA BEACH WEAR YA DESIGNER VIDA MAHIMBO

NELLY NI MODEL PIA NCHINI TANZANIA,
LEO NIMEONA VIDEO YAKE AKIFANYIWA INTERVIEW NA RUSSIAN MEDIA
AKIFUNGUKA JUU YA FAMILA YAKE ,BABA YAKE NI MTANZANIA MAMA YAKE NI MRUSSIA LETS SHARE A VIDEO
MOLATI WA KIRUSSIA  NI MWANAMZIKI PIA ANAVIPAJI VINGI
BONYEZA HAPA UONE VIDEO YAKE.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...